msaada NEMC kuna kiwanda cha plastic katikati ya makazi ya watu

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
panaitwa makuburi kata ya mwongozo kuna "mbabe" mmoja amefungua kiwanda cha plastic nyumbani kwake harufu na moshi unaotoka ni kama maplastic na malailoni yanaungua ....niliwahi kisikia mtaalamu mmoja akitahadharisha kuhusu moshi wa plastic kwamba una madhara mengi kwa binadamu ikiwemo kuathiri afya ya uzazi....mtaalamu huyu alikuwa anafundisha jinsi ya kuwasha moto wa mkaa bila kutumia mafuta wala plastic sasa hapa mtaani kuna huyu mbabe ameamua kutufukiza kwa moshi uliochanganyika na harufu ya maplastic kulala na kushinda nyumbani ni shida ..nakumbusha tena panaotwa mabibo makuburi kata ya mwongozo viwanja vya nice karibu na kwa dr maiko.....
 
Back
Top Bottom