MSAADA NDUGU ZANGU WANA JAMII FORUM

Said Cosmetics

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
829
Points
500
Said Cosmetics

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
829 500
Mimi ni kijana wenye umri wa miaka 27,elimu yangu ni astashahada ya ualimu grade lllA
primary.Katika kusaka ajita nimebahatika kupangiwa kazi ngorongoro shule naweka kapuni,ombi langu kwenu wanajamii wenzangu ni kwamba nina deni la chuo ambalo ni laki 2.Nimekuja hapa kwenu kwa lengo la kunipa ushauri au hata kunisaidia kwa mkopo ili niweze kurejesha pesa ya ada ya chuo.Asanteni sana ndugu kws mawasiliano 0759827138
 
free lander

free lander

Senior Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
155
Points
250
free lander

free lander

Senior Member
Joined Nov 7, 2018
155 250
Mimi ni kijana wenye umri wa miaka 27,elimu yangu ni astashahada ya ualimu grade lllA
primary.Katika kusaka ajita nimebahatika kupangiwa kazi ngorongoro shule naweka kapuni,ombi langu kwenu wanajamii wenzangu ni kwamba nina deni la chuo ambalo ni laki 2.Nimekuja hapa kwenu kwa lengo la kunipa ushauri au hata kunisaidia kwa mkopo ili niweze kurejesha pesa ya ada ya chuo.Asanteni sana ndugu kws mawasiliano 0759827138
Subiri mshahara ndugu
 
Said Cosmetics

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
829
Points
500
Said Cosmetics

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
829 500
Huwa naona unatangaza cosmetics za gharama kweli, vipi haukufanikiwa huko?
sio sikufanikiwa mafaniko sio kitu cha mchezo tunauza lakin pesa inaenda kuleta tonge mdonmi
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,381
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,381 2,000
Wewe ni muajiriwa tayari nenda chuo onana na mkuu wa chuo mpe hali halisi na ikiwezekana kubalianeni kwa maandishi ili usije kuleta shida hapo baadae.
 
P

Patroman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Messages
346
Points
500
P

Patroman

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2018
346 500
We kaongee na wakuu wa idara huko unakoenda kufundisha...ajira umeishapata...huo ni uthibitisho kuwa cheti unacho....wao watajua Nini Cha kufanya.
 
Forum statistics

Threads 1,304,596
Members 501,460
Posts 31,519,916
Top