Msaada ndugu zangu kuhusu kurusha matangazo kwa video

StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
3,679
3,718
Je, ipi ni njia bora na nafuu zaidi ya kurusha matangazo ya kipindi(video) kati ya kuwa na YouTube Channel au kupitia TV stations au vinginevyo kwa mazingira ya teknolojia ya sasa? Maudhui ya show ni kuelimisha jamii Kiroho na Kijamii. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom