Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

MoonBoy

Senior Member
Jul 15, 2016
195
133
Nataka kujua namna ya kutoa pesa kiwango chochote.

Kwa mfano nataka kutoka laki na nusu. Lakini nikiangalia viwango pale kwenye skrini sioni laki na nusu. Je? Nawezaje kutoa kiwango cha tofauti na kilichopangwa, nimeona sehemu ya kuandika, ni kajaribu lakini ikakataa, sasa labda kuna namna ya kuandika.

Nijuzeni tafadhali
 
Nataka kujua namna ya kutoa pesa kiwango chochote.. Kwa mfano nataka kutoka laki na nusu... Lakini nikiangalia viwango pale kwenye skrini sioni laki na nusu... Je? Nawezaje kutoa kiwango cha tofauti na kilichopangwa, nimeona sehemu ya kuandika, nukajaribu lakini ikakataa, sasa labda kuna namna ya kuandika.. Nijuzeni tafadhali
Ndio inawezekama nenda option imeandikwa "viwango vingine" ukiangalia utaona sehemu ya kuandika kiwango unachotaka kutoa
 
Nahisi kuna sehemu ya kuandika kiwango kingine ukibonyeza ndo utaandika unachotaka ...
 
Ndio inawezekama nenda option imeandikwa "viwango vingine" ukiangalia utaona sehemu ya kuandika kiwango unachotaka kutoa
Nimewahi kufanya hivyo, lakini ikakataa... Niliandika 150,000 ikakataa... Sasa sijui iandikwe vipi
 
Uwe unachagua kutumia English ni rahisi kuliko kiswahili, Lugha yetu pendwa kiswahili ni tamu kwenye kuzungumza lakini kwenye mifumo endeshi inafeli sana.
Nimejaribu Kwakweli lakini sikupata msaada wowote na salio lilikuwepo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom