Msaada ndugu zangu: Chimbo la ubuyu ule unaouzwa Kariakoo

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,276
Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA.

Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla.

So anayefahamu ni wapi unapatikana huo ubuyu kwa Dar hapa....msaada ndugu.
 
Nenda Zanzibar kaulize kwa babu Issa wapi watakuelekeza ama ingia Instagram andika ubuyu wa babu Issa watatokea wauzaji wengi utachagua watakuwa wanakutumia
 
Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA.

Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla.

So anayefahamu ni wapi unapatikana huo ubuyu kwa Dar hapa....msaada ndugu.
Nenda Magomeni kanisani
Kutoka mataa ya magomeni to kinondoni mbele kidogo kuna mataa mengine unakata kushoto unaendaa mbele kuna makaburi pale ulizia utaelekezwa

Caution::: ubuyu huu c wa Zanzibar Bali wanautengeneza.
ukitaka wa znz nenda znz
 
Back
Top Bottom