Msaada ndugu yangu anataka arejeshwe shule aliyochaguliwa darasa la saba, mwalim

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,442
2,000
Nimekuja Hapa mnipe mawazo Juu ya hili Kuna ndugu yangu,

Yupo mkoa mmoja mwanae alimaliza la7 akabahatika kachaguliwa shule moja hizi zetu namanisha za kayumba mzazi kuona hivyo kajichanga mwanae kampeleka shule za hela kasoma mwaka mmoja Yani form one mzee uchumi umeyumba akaona amrudishe mtoto alikochaguliwa.

Basi kimbembe kimeanzia hapo baada ya kwenda kumuona mkuu wa shule mzee anadai hedimaster anataka Rushwa ili amrudishe Mtoto shuleni hapo kuendelea na masomo.

Tatizo hapa lilikua sio kumpa Mwalimu chochote shida anataka pesa nyingi Yani usawa huu anataka Milioni. Kutokana na Mazingira hayo ndugu yangu Kaja kuniomba ushauri.

Je, ni halali kweli kumpa pesa ili kumsajili Mtoto au ni halali yake kuendelea na masomo pale alikochaguliwa?

Hebu wajuzi mkuje kusaidia hapa
 
Jick

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
520
1,000

Kwa kifupi ni kwamba kwa miongozo iliyopo ni ngumu sana kumhamisha mtoto kutoka private kwenda Govt. Ndio maana huyo mwl anataka rushwa kubwa, na hata hivyo bado huyo atatumia short cut fulani ambayo hapo baadaye inaweza kumponza mtoto.

Ndugu yako inabidi akajieleze mamlaka za juu, nashauri apeleke kilio chake kwa REO/RAS watampa mwongozo, ila akianzia hata level ya halmashauri watamkamua utumbo.

Ahsante kwa kusoma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom