Msaada ndugu NAPATA WAZIMU

Kweli haya majanga..... Yani huyo bidada kama mimi, mimi hata apigiwe atumiwe sms sisubutu hata aache cm wala sishughuliki nayo..... Na yeye alisema kama unavyo sema wewe eti simpendi sikusumbua mdomo wangu nilimuangalia tuuuuu..........
 
habari wakuu wa MMU
Mwenzenu nina tatzo ktk mapenzi na mpz wangu.
yaan n hv n mwaka wa pili kwny mahusiano mpz wangu hajawai shika cmu yangu kuikagua inaniuma sana yani hata umuachie makusud haishiki kuifungua kuangalia sma wala call log yan nateseka kwa hilo na kuna cku nikaiacha kitandani makusudi akiwepo nikatoka nje na kuanza kuipiga hyo cm yangu kwa cm nyingine ambayo nilisevu jna la honey nilipiiga wee wap hakuigusa tuma sms wap wala.hakustuka ivi ananipenda kweli huyu au ananizuga tu yan roho inauma kweli sujui nifanyeje mnisaidie jaman

kaka bila shanga hujawahi kukutana na visanga kwenye idara hii yenye presha, mapenzi!

ina maana wewe shida yako ni kushikiwa simu yako tu??? ila vingine vyoooote unapewa, wala hakunyimi!!

basi kaa nae chini umwambie ukweli, kwamba aanze kukuchunguza kwa spidi ya ajabu!

then rudisha feedback fasta!!
 
habari wakuu wa MMU Mwenzenu nina tatzo ktk mapenzi na mpz wangu. yaan n hv n mwaka wa pili kwny mahusiano mpz wangu hajawai shika cmu yangu kuikagua inaniuma sana yani hata umuachie makusud haishiki kuifungua kuangalia sma wala call log yan nateseka kwa hilo na kuna cku nikaiacha kitandani makusudi akiwepo nikatoka nje na kuanza kuipiga hyo cm yangu kwa cm nyingine ambayo nilisevu jna la honey nilipiiga wee wap hakuigusa tuma sms wap wala.hakustuka ivi ananipenda kweli huyu au ananizuga tu yan roho inauma kweli sujui nifanyeje mnisaidie jaman

Daa' hongera mkuu!! maana hiyo bahati.
 
Duh! Kweli mi naona watanzania tunaiga maisha ya watu wengine au tumezoea matatizo. Maana kupekuliwa simu ni matatizo hayo,wewe me sasa nikupe taarifa tu mimi ni ke na huwa sipekui simu ya mpenzi wangu sio kwasababu sina wivu nae ila na mwamini na sitaki niwe insecure naye. Wote ni watu wazima na kama tumeamua kuwa katika mapenzi kwaahiyo tunajua nini tunafanya sio kuanza kupekuana kama watoto wadogo,mkubwa hachungwi anaelezwa kama kuna sehemu mambo yamekwenda vibaya! Maisha yetu yanakwenda vizuri,acha pressure usijitafutie matatizo ambayo hayapo!
 
daaaaaaaahhh mkuu kiukweli nakuonea huruma coz they say THERE IS NO LOVE WITHOUT JEOULOUS,fanya utafiti labda ana sababu zake na sio kwamba hakupendi.au pengine anaheshimu sana privacy ya mtu.

Umeona eeh...eti simu inaita kitandani iko kweupe nisichungulie kapiga nani?

Wivu unahusika kwenye mapenzi...huyo atakuwa yuko ki maslahi zaidi ndo maana hataki kukukorofisha.

Au anajua huna mvuto kwa hiyo hakuna wa kumnyang'anya (a joke)
 
Duh! Kweli mi naona watanzania tunaiga maisha ya watu wengine au tumezoea matatizo. Maana kupekuliwa simu ni matatizo hayo,wewe me sasa nikupe taarifa tu mimi ni ke na huwa sipekui simu ya mpenzi wangu sio kwasababu sina wivu nae ila na mwamini na sitaki niwe insecure naye. Wote ni watu wazima na kama tumeamua kuwa katika mapenzi kwaahiyo tunajua nini tunafanya sio kuanza kupekuana kama watoto wadogo,mkubwa hachungwi anaelezwa kama kuna sehemu mambo yamekwenda vibaya! Maisha yetu yanakwenda vizuri,acha pressure usijitafutie matatizo ambayo hayapo!

Kula like m baby wa ukwee!!!
 
Huenda ana mpango wa kando kwa hiyo ana set rule of the game (by implication)...sishiki yako na wewe usishike yangu...

Huwezi kuwa pro-kushikiana simu wakati wewe mwenyewe una vimeo
 
habari wakuu wa MMU
Mwenzenu nina tatzo ktk mapenzi na mpz wangu.
yaan n hv n mwaka wa pili kwny mahusiano mpz wangu hajawai shika cmu yangu kuikagua inaniuma sana yani hata umuachie makusud haishiki kuifungua kuangalia sma wala call log yan nateseka kwa hilo na kuna cku nikaiacha kitandani makusudi akiwepo nikatoka nje na kuanza kuipiga hyo cm yangu kwa cm nyingine ambayo nilisevu jna la honey nilipiiga wee wap hakuigusa tuma sms wap wala.hakustuka ivi ananipenda kweli huyu au ananizuga tu yan roho inauma kweli sujui nifanyeje mnisaidie jaman

si mzima wewe... peleka jokes corner hii taka taka yako.
 
Huenda ana mpango wa kando kwa hiyo ana set rule of the game (by implication)...sishiki yako na wewe usishike yangu...

Huwezi kuwa pro-kushikiana simu wakati wewe mwenyewe una vimeo

Hata mimi nimewaza hivi hivi.

Chunga sana...

Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli aliimba Jide.

Ila je, ni kwenye simu tu au kila kitu? In presence and absence?
 
Si kwenye simu tu...ila simu imerahisisha kazi.Lol.

Kuna maeneo mengi ambako kwa wapendanao wivu unahusika...mfano uwe na mpenzi anayemzungumzia opposite sex mmoja kila siku...lazima udai maelezo ya kina

Au mnatoka out...mtu anakodolea opposite sex mda wote mpaka hasikii unachoongea...

Hivi ni vitu ambavyo havivumiliki hata kama ni natural...fanya hivyo ukiwa peke yako...ukiwa na mtu ni full attention kwake.

Hata mimi nimewaza hivi hivi.

Chunga sana...

Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli aliimba Jide.

Ila je, ni kwenye simu tu au kila kitu? In presence and absence?
 
Papuchi anaipakua vizuri lakin kama anakupiga pampu fresh usiwaze, kama utahitaji ushauri kifaragha zaidi ni PM.
 
habari wakuu wa MMU
Mwenzenu nina tatzo ktk mapenzi na mpz wangu.
yaan n hv n mwaka wa pili kwny mahusiano mpz wangu hajawai shika cmu yangu kuikagua inaniuma sana yani hata umuachie makusud haishiki kuifungua kuangalia sma wala call log yan nateseka kwa hilo na kuna cku nikaiacha kitandani makusudi akiwepo nikatoka nje na kuanza kuipiga hyo cm yangu kwa cm nyingine ambayo nilisevu jna la honey nilipiiga wee wap hakuigusa tuma sms wap wala.hakustuka ivi ananipenda kweli huyu au ananizuga tu yan roho inauma kweli sujui nifanyeje mnisaidie jaman

Kweli dunia gunia!
Kuna takataka za aina zote!!
 
Back
Top Bottom