Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,822
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba.
Nyumba ni kubwa sana na tupu.
pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake.
Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu kutumia hekima za kiuanadamu nimeshindwa kupata majibu.
Naombeni msada ndugu zanguni kwani hata hapa kibaruani leo ufanisi wangu umeshuka mno