Msaada:- Ndoto hii inaninyima raha

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,792
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba.
Nyumba ni kubwa sana na tupu.
pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake.
Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu kutumia hekima za kiuanadamu nimeshindwa kupata majibu.
Naombeni msada ndugu zanguni kwani hata hapa kibaruani leo ufanisi wangu umeshuka mno
 
naona kama ninachanganyikiwa, niende wapi nikafanyiwe maombi?
Nasikia kuna kitu kinaitwa deliveranceje ni wapi wanatoa huduma hii?
 
inaonesha utapata pesa nyingi/au mali nyingi,ila shimo kubwa maana yake kuna jambo limejificha
 
ukiwa peke yako umetulia anza kuchanganua mambo yalivyokuwa kama vile muda je ilikuwa usiku au mchana. namba, mfn watu wangapi walikuwapo, rangi zilizokuwapo katika ndoto yako kila kimoja kina maana katika ndoto.
 
ukishindwa sana muombe roho wa mungu akurahisishie maana aliyokusudiwa kuwasiliana na wewe kupitia ndoto.
 
ukiwa peke yako umetulia anza kuchanganua mambo yalivyokuwa kama vile muda je ilikuwa usiku au mchana. namba, mfn watu wangapi walikuwapo, rangi zilizokuwapo katika ndoto yako kila kimoja kina maana katika ndoto.
jumla kulikuwa watu wanne, mimi, mjomba wangu (anaishi), baba yangu mdogo (amefariki), na mwanamke mmoja ambaye ni mwanamke wa baba mdogo (sijawahi kumuona, nilimuona humo ndotoni)
Pia kwenye kile kifusi walisema lile shimo limechimbwa kama tanuri lililotimika kwenye wizi wa fedha za benki Brazil BBC NEWS | World | Americas | 'Record' bank robbery in Brazil .
Kulikuwa kumetawaliwa na rangi nyeupe
 
Labda fanya kupita pita kwenye makanisa yote,kwasababu tayari imani yako ipo katika kuombewa,ingawa sina imani sana na makanisa ya siku izi mana maombi mengine hata mbu hayafukizi.

ila jaribu tu kuna kwa kakobe,lusekelo,rwakatare,mwingira,agape,siloam-makonde,gwajima,na mengine utakayoelekezwa.
Tubu,na utumie neno la wafu hawana ijara katikati ya walio hai,wakati unasaka izo delivarnc.

naona kama ninachanganyikiwa, niende wapi nikafanyiwe maombi?
Nasikia kuna kitu kinaitwa deliveranceje ni wapi wanatoa huduma hii?
 
Labda fanya kupita pita kwenye makanisa yote,kwasababu tayari imani yako ipo katika kuombewa,ingawa sina imani sana na makanisa ya siku izi mana maombi mengine hata mbu hayafukizi.

ila jaribu tu kuna kwa kakobe,lusekelo,rwakatare,mwingira,agape,siloam-makonde,gwajima,na mengine utakayoelekezwa.
Tubu,na utumie neno la wafu hawana ijara katikati ya walio hai,wakati unasaka izo delivarnc.
Hao wote ni wahuni, nenda kwenye kanisa ulilobatizwa
 
jumla kulikuwa watu wanne, mimi, mjomba wangu (anaishi), baba yangu mdogo (amefariki), na mwanamke mmoja ambaye ni mwanamke wa baba mdogo (sijawahi kumuona, nilimuona humo ndotoni)
Pia kwenye kile kifusi walisema lile shimo limechimbwa kama tanuri lililotimika kwenye wizi wa fedha za benki Brazil BBC NEWS | World | Americas | 'Record' bank robbery in Brazil .
Kulikuwa kumetawaliwa na rangi nyeupe

vizuri, maongezi yalikuwaje. tafakari kwa kina then utaelewa wakati mwingine ujumbe kwenye ndoto huwa si mbaya ila unakutahadharisha na upcoming events. si kila unapomuota mtu aliyekufa unaogopa wakati mwingine huna sababu ya kuogopa. tafakari rafiki woga unaweza usiwe na sababu.
angekwambia amekuja kukuchukua ungetaka kukemea roho ya mauti sasa hapo unaogopa nini?
 
Yule aliyekufa alikuwa ananikabidhi nyumba yake nimtunzie, na mimi nikampeleka mjomba wangu akaone nyumba niliyopewa niitunze
vizuri, maongezi yalikuwaje. tafakari kwa kina then utaelewa wakati mwingine ujumbe kwenye ndoto huwa si mbaya ila unakutahadharisha na upcoming events. si kila unapomuota mtu aliyekufa unaogopa wakati mwingine huna sababu ya kuogopa. tafakari rafiki woga unaweza usiwe na sababu.
angekwambia amekuja kukuchukua ungetaka kukemea roho ya mauti sasa hapo unaogopa nini?
 
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba.
Nyumba ni kubwa sana na tupu.
pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake.
Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu kutumia hekima za kiuanadamu nimeshindwa kupata majibu.
Naombeni msada ndugu zanguni kwani hata hapa kibaruani leo ufanisi wangu umeshuka mno

Unamjua mtu yeyote Mwenye nguvu ya Mungu? Mtafute akusidie kuomba hiyo roho iondoke kwako...In the name of Jesus.
 
Ukiwa mkiristo, Funga na Kuomba atleast kwa siku 3 hivi, utapata jibu, au kama kulikuwa na hatari yoyote, itatokomea, na kama ni ishara ya baraka mungu atakufunulia karibuni. Ila wakati wa kuomba usisahau kuwa Mungu ndiye anayejua maana yake; mwambia kama ni heri na iwe LA kama ni mbaya Mungu atengue mipango hiyo ya ibilisi, Yesu alishinda mauti na sasa yuko hai anataka kauli yako ya ushindi! Ameen!
 
HAYO NI MAPEPO\MIZIMU kutoka kwa mababu yanataka kukulisisha wewe. TUBU dhambi zote futa ndoto kwa damu ya YESU utapona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom