fourtypercent
Member
- Jun 4, 2011
- 53
- 20
Wadau kwa anaye fahamu anijuze link ambayo naweza kupata bible ya kiswahili. nawsilisha
Chukua kitu HAPA mkuu usipate shida tena kinatumika kwenye computer au simu yoyote yenye uwezo wa kufungua html files NB. Hakuna haja ya installation ni standalone file. Pia hii kitu inafunguka vizuri kwenye mozila na opera.Wadau kwa anaye fahamu anijuze link ambayo naweza kupata bible ya kiswahili. nawsilisha
Android phone kama walivyosema wengine
nenda Play store halafu search pale andika
Swahili Bible free download unapata ni nzuri.
mimi ninatafuta yenye vile vitabu vinne vya ziada ambavyo havipo kwenye biblia nyingine
Made by Hosanna Higher Technologies!Mkuu na hiiitakuwa produxn yako?
Daaah,wee mkali yaani haraka kupita maelezo imefunguka!!Chukua kitu HAPA mkuu usipate shida tena kinatumika kwenye computer au simu yoyote yenye uwezo wa kufungua html files NB. Hakuna haja ya installation ni standalone file. Pia hii kitu inafunguka vizuri kwenye mozila na opera.
Mkuu umenijibu kwa dharau na ukorofi hadi umeniharibia siku. Kama ulikuwa hauna au hauijui hiyo biblia si ungekaa kimya?Si vyema kila jambo kulifanyia utani. mimi nilimaanisha biblia yenye vitabu vya DEOTEROKANONI ambavyo vipo kwenye biblia ya wakatoliki na wanaamini makanisa mengine waliviondoa kwenye biblia.vitabu hivyo ni:cheki na kanumba atakutumia
mimi ninatafuta yenye vile vitabu vinne vya ziada ambavyo havipo kwenye biblia nyingine