Msaada: Nawezaje kuondoa ads (matangazo) yanayotokea ktk whatsap na android

Rozanna Agro Africa

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
809
789
Habari wakuu, kiukweli kwa wiki takribani mbili sasa tangu niuupdate android version kutoka version 8 to 9 na whatsap, nakutana na matangazo ya mara kwa mara, kiukweli yanakera sana.

Unakuta labda unachat hapa Jf, au whatsap au upp ktk browser unaperuzi, basi ghafla yanakuja matangazo, mfano wa matangazo nimeambatanisha

Je, nawezaje kuondoa hayo matangazo yasinisumbue tena?

Tafadhali msaada
Screenshot_20190314-082358_File%20Downloader.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whatsapp haina ads (kwa uzoefu wangu)

Jf (ads zake hazipo ivo)

Kuna uwezekano
1: kuna app umeweka ndio inaleta upuuzi huo(hizi app za hovyo hovyo)

2:Simu imeshakua corrupted na virus

Solution:
1:Futa baadhi ya apps unazohis zileta hilo tatizo

2:Ikiwa 1imefeli jaribu kuna app za kublock ads (sijawahi zitumia sizijui)

3:Ikiwa 1-2 zimefeli , jaribu kufanya system restore.

4: ikiwa 1-3 zimefeli jaribu kuiflash na clean ROM.

ZINGATIA: ukijitaji msaada zaidi taja aina ya simu, model, na android version yake.

Tusubiri wajuzi wengine waje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna App ume install hivi karibuni ndio inaleta hiyo shida.
Nenda setting kisha App kagua app ulizo nazo, ukikutana na app huielewi uninstall it.

SangaweJr
 
Download malwarebytes for android ni antivirus itakusaidia kutambua app zipi zinazoleta hayo matangazo na inazifutilia mbali hizo apps.. Thank me later
 
Habari wakuu, kiukweli kwa wiki takribani mbili sasa tangu niuupdate android version kutoka version 8 to 9 na whatsap, nakutana na matangazo ya mara kwa mara, kiukweli yanakera sana.

Unakuta labda unachat hapa Jf, au whatsap au upp ktk browser unaperuzi, basi ghafla yanakuja matangazo, mfano wa matangazo nimeambatanisha

Je, nawezaje kuondoa hayo matangazo yasinisumbue tena?

Tafadhali msaadaView attachment 1045242

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unatumia Gb whatsapp au Yo.... Lazm iwe na ads

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom