Msaada: nawezaje kufix tatizo la keyboard na touchpad kutofanya kazi

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
238
71
Nina siku tano nashindwa kutumia pc yangu kwa uhuru kwa sababu ya ttzo la keyboard na touch pad....
Nilitumia driver pack kudowload driver za audio kwenye pc yangu kilichojiyokeza ni kuanzisha ttzo hilo.
Natumia external keyboard na external mouse....
Naomba mwenye solution ya hili ttzo anijuze tafadhali
 
Mchawi ni hizo drivers ulizoweka so ziuninstall au Fanya restore pc irudi kama awali
 
Jaribu kwanza kutumia online keyboard uone kama inakwenda unono.Kama iko sawa kaangalie keyboard properties uone kama kuna alama ya mshangao au la.kama ipo ndio useme kwamba kuna driver failure otherwize inspect keyboard yako physically.pia angalia kama kuna fn key flan imeturn kitu off
 
Hili tatizo huwa linatokea sana kwenye window 10 au 8 ,na kama unatumia drive park,solution ya hili tatizo piga window chini then jaribu kuweka driver ambaazo ni compatible na pc yako,hizo ulizoweka zimeblock USB ports.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom