Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

Take it easy mkuu, haina shida. Yaani ichukulie poa kabisa, na usitishwe na maneno ya watu hapa mtandaoni. Wewe acha hali ziendelee yenyewe na isikusumbue. Na hiyo ni moja ya sifa za watu majiniasi
 
Shukrani sana mkuu ..
 
Huwa najadili kuhusiana na jambo/kitu fulani mpaka kufikia mwafaka ..
Wapo wengine wanaongea lakini kichwani yaani hawasemi ..ila kichwani ndio wanaunda vikao...

Hawa mda mwingi wanapenda kuwa peke yao...maana wanakuwa bize kichwani ..

Ni nzuri ila ikizidi sana ..ni tatizo maana utaonekana una walakini kichwani na hii itafanya ugumu kwenye jamii inayokuzunguka.
 
Hiyo ndiyo hulka yangu mkuu, na feel more comfortable nikiwa alone ..
hutopona! lazima kuwe na sababu au malezi yaliyokufanya uwe unapenda upekee.! kma jamii inayokuzunguka inajua uselfish wko! na ww ukawa unafahamu hlo, basi hlo ni tatzo! na kama jamii inayokuzunguka ni selfish bas hamna tatzo boss;)
 
Wapo wengine wanaongea lakini kichwani yaani hawasemi ..ila kichwani ndio wanaunda vikao...

Hawa mda mwingi wanapenda kuwa peke yao...maana wanakuwa bize kichwani ..

Ni nzuri ila ikizidi sana ..ni tatizo maana utaonekana una walakini kichwani na hii itafanya ugumu kwenye jamii inayokuzunguka.
Ni ukweli maana mimi ukinishtukiza huta acha kudhani nina tatizo kichwani ..
 
Back
Top Bottom