Msaada: Nawezaje ku-renew ATM card nikiwa sikumbuki namba ya account yangu?

Mr kilaja

Senior Member
Aug 21, 2016
110
64
Habari zenu.

Niliibiwa ATM card juzi, lakini namba ya account nilikuwa sijai-save. Nawezaje ku-renew ATM card?
ATM card ni ya CRDB Bank.
 
Nime poteza ATM CARD leo ya CRDB. Naombeni procedure za kufata pia na gharama za kupatiwa Card mpya
 
Nime poteza ATM CARD leo ya CRDB. Naombeni procedure za kufata pia na gharama za kupatiwa Card mpya
Hakuna utaratibu wa kuwataarifu kuwa umepoteza kadi yako ili izuiliwe kufanya miamala na wewe kupewa nyingine?
 
Nime poteza ATM CARD leo ya CRDB. Naombeni procedure za kufata pia na gharama za kupatiwa Card mpya

Ingia kwenye mtandao utapata loss report hakuna haja ya kwenda polisi utalipia sh 500 Tu halafu utaprint loss report baada ya hapo barua ya mtendaji halafu utaenda benki kukamilisha mengine
 
Back
Top Bottom