Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

Jan 20, 2014
5
7
Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu anauelewa naomba anielekeze nijinsi gani naweza kupata API. Natanguliza Shukurani.
 
Hapo labda uzame bank husika ila huo ni ushauri wangu kama kuna wajuzi zaidi watakusaidia
 
Kuna shida kubwa sana kwenye taasisi au makampuni ya Tz kuweka open source kwa developers kucustomize mifumo, utapigwa danadana kibao kwa nn unataka na bla blaaa nyingi sana!
 
Anatakiwa kuwa na merchant account
Kwa taarifa zaidi check hiyo link. Experience yangu huwa email hawajibu au somehow emails zangu huishia spam folder.
So ushauri ni nenda ofisini kwao kwa melezo ya kina na utaratibu

 
Back
Top Bottom