Msaada, naweza kupata wapi mafuta ya Simba

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,395
3,197
Kwenye mada moja kwa moja, wakuu naomba msaada wa namna ya kupata Mafuta ya mnyama simba.

Kwa matumizi ya kulinda mazao,mifugo nk...
Kwani huwa yanapakwa kwenye Kona ya maeneo unayotaka yasibugudhiwe na wanyama waaribifu.

Mfano kwa eneo ninalotaka kulilinda ni huko Rombo -Mkuu ,Moshi
Kwani kuwa wanyama kama Vibobori, kiloushindi,tumbili ,ngayaya nk..ni waaribifu wa mazao kama maembe, maparachichi,mahinda,ndizi,nk. Hivyo mafuta hayo husaidia sana kuwafukuza wanyama hao..

Miaka ya nyuma kuna simba aliuwawa na kuelekea simba huyo kupikwa na baadhi ya wanakijiji walikula ikiwemo baba mkubwa R.I.P alipirudi nyumbani mifugo kama mmbwa mbuzi wote walikimbia pindi tu alipowasogelea karibu na hawakuwahi kupatikana tena.

NB: nahitaji mafuta ya simba original, kwani nimeshauziwa mafuta fake kwa tsh 200k na watu wawili na mmasai mmoja.

Nitalipa baada ya kuyajaribu ktk mifugo.
 
Watu wawili na mmasai mmoja?
 
Nimecheka,vibobori
 
Ndiyo sababu ya sisi wahehe kula mbwa,kwani ukikasirika ukiwa unaongea unakuwa kama unabweka,lazima watu wakuogope
 
Sawa ndio maana mnasirwa na waarabu wa Loliondo mpaka hamtaki kuhama mshazoea kukaa tako wazi pingili wanaingiza chap chap tu
nilitaka nikupe channel namna na mahali pa kuyapata ,lkn nimegaili baada ya kuonyesha ubaguzi .maasai ni mtu pia !!
 
Mkuu wewe umeshaelewa mimi mwenyewe ni mixed masai na mchagga hivyo lete connection acha maneno mbofu mbofu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom