Msaada naumwa jamani!!!

Gelevaheke

Member
Apr 18, 2013
77
5
Ninatatizo ambalo kama wiki lina nisumbua yani tumbo linajaa gesi na linapandisha hadi presha mapigo ya moyo yanakwenda kasi kwa mda msaada
 
Pole sana mkuu, fanya hii rahisi. Nenda supermarket au dula la kawaida nunua majani ya chai yameandikwa CAMOMILE weka kwenye kikombe within 10minutes tuletee majibu
 
Chamonile inakaa kwenye kikombe dakika 10 mtu anapona gas, moyo kwenda mbio etc, acha fix!
 
Ninatatizo ambalo kama wiki lina nisumbua yani tumbo linajaa gesi na linapandisha hadi presha mapigo ya moyo yanakwenda kasi kwa mda msaada

Apples.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom