Msaada: Naulizia Number ya Vodacom huduma kwa wateja

brian360

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
224
30
Natumai wazima wadau wa JF nina shida na no. Ya huduma kwa wateja ya Vodacom ukiachana na ile ya 100
 
Ht mimi hua nawapata kwa hii namba ila unakatwa sh 100 kwa kila upigapo
Nafikiri Huduma Kama hizi zinapaswa kuwa bure kwa wateja.:mvutaji:
Maana yake hiyo shilingi 100... Kwa siku wakipiga simu wateja milioni moja (1,000,000 x 100 = 100,000,000). Huu ni unyang'anyi zaidi ya ujangiri wa Ndovu.
 
Back
Top Bottom