Msaada - Nauli za Ndege: Dar - Kanda ya Ziwa na Dar - Kanda ya Magharibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada - Nauli za Ndege: Dar - Kanda ya Ziwa na Dar - Kanda ya Magharibi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Keil, May 8, 2012.

 1. K

  Keil JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wanajamvi naomba kujua nauli za ndege kwa maeneo haya au kama kuna mahali (mtandaoni naweza kupata)

  Dar - Mwanza
  Dar - Shinyanga
  Dar - Kigoma
  Dar - Tabora

  I know kuna safari za Dar - Tabora then unaweza kumalizia segment ya siku nyingine kwa kuwa ndege zinazokwenda Kigoma hutua Tabora kwanza ndipo huendelea na safari kwenda kigoma. Je kuna route ya Tabora - Shinyanga?

  Ninatanguliza shukurani.
   
 2. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2014
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Pole mkuu

  Toka 2012 haujapata jibu??
   
 3. K

  KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2014
  Joined: May 16, 2014
  Messages: 1,349
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  umenichekesha kweli mpenda pombe
   
 4. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2014
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,424
  Likes Received: 12,577
  Trophy Points: 280
  Jamaa sijui yupo katika hali gani sasa hvi

  User Name: Keil

  User
  Title: JF Senior

  Expert Member Last Activity: 11th April 2014 11:02
   
Loading...