MSAADA : Natokwa na damu ya hedhi siku 6 badala ya 4

Hii ni hatari sana.Why uonyeshe nyeti hadharani??je lengo lako ni zuri kwa wakaka wa humu kweli.Unaulizwa hiyo Avatar ya nyonyo yako.Eti ndio..
Shindwaaaaaaaaa !!!!!
Msaidie mgonjwa titi achana nalo
 
Asante sana umechambua vizur na nimekuelewa, Mungu akubariki kwa busara.....naenda leo kitakachojiri nitakutaarifu pia kwa ushauri zaidi asante sana
Mrejesho... Nimeangaika mahosp zaidi ya mwaka ... Mnazi mmoja wameniambia ni uvimbe cm 6.90
 
Zaleo.
Kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Mwezi wa 2 nimeblidi siku 6 na ya 8 ikaishia....nilishangaa sana kwa kua mimi huwa NABLIDI siku 4 tu nimemaliza. Nilijiona tofauti nikapotezea ila cha kushangaza na mwezi huu wa 3 mwishoni kuingia wa 4 naona hali ni hiyoiyo......ila cha kushangaza inatoka kidogo kidogo sana tena mno na si kawaida yangu pia ni NYEPESI sana kama mtu aliejikata.

Ilibidi niende Hosp. Temeke docta nikamuelezea akasema pengine homon zimechange ila hawezi nipa dawa hadi nipime utrasaund. Ila uyrasaund wikiend na sikukuubhuduma hakuna hadi j4. Je, kuna mtu alishawahi pata tatizo kama langu? Japo nasubili kesho niende Hosp. Napenda kujua zaidi kama wapo waliopatw na tatizo kama langu na walipata tiba ipi?

NB: siumwi na tumbo wala sijisikii vibaya wala dalili yeyote ya kuchoka na sijawahi kutumia dawa yeyote ya kuzuia ujauzito katika maisha yangu ila nina mtoto mmoja.
Je, Naweza pata dawa maana wameniambia hakuna dawa ni opereshen
 
Back
Top Bottom