Msaada: Nataka simu itume SMS kwa zaidi ya watu 10

Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,196
658
Note 9 inatuma SMS kwa pamoja kama group mwisho watu 10, kwa kazi yangu nina watu wengi sana ninaotaka wawe wanataarifiwa. Inanilazimu kutuma 10/10 kila mara.

Naomba msaada wa namna nitaweza kutuma SMS kwa pamoja kwa zaidi ya watu 10 kwa mpigo.
 
Hii ni contacts group ama ni group unalotengeneza mwenyewe pale ukiwa unatuma sms?
 
Note 9 inatuma SMS kwa pamoja kama group mwisho watu 10, kwa kazi yangu nina watu wengi sana ninaotaka wawe wanataarifiwa. Inanilazimu kutuma 10/10 kila mara.

Naomba msaada wa namna nitaweza kutuma SMS kwa pamoja kwa zaidi ya watu 10 kwa mpigo.
Kuna App uwa Natumia Kutumma zaidi ya watu 2000+ inaitwa Multi Group Sms iko playstore yakulipia japo unaweza pata apk moded ukitumia google
 
Ondoa kwenye settings za hiyo messenger yako isijiswichi kwenda MMS ila ibakie kwenye SMS pale uunapotuma kwa watu wengi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom