Msaada nataka nunua radio Watts 500, ni bei gani?

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
nataka nunua speaker kubwa ya mziki watts 500 brand ya candy. ninaomba kujua bei zake madukani zinaweza kuwaje ili nijiandae
 
naona moderators wameedit heading na kuweka radio, mimi sijamaanisha radio complete namaanisha speaker ya mziki kuweka kwenye pub,sherehe ikiwa imeunganishwa na amplifiers
Chukua sony baba lao
 
Back
Top Bottom