Huendi mbinguni..
Ok wacha waje wakupe bei. Huenda ni wale tech mashop keepersyaah inahusisha kifaa cha technolojia ya mziki hivyo wana technolojia hii wanaweza kuwa na inforamation za kutosha kuhusu hili mkuu au wewe unalitazamaje?
Mods wameshasaidia, mjibuni sasa wajuvi wa mambo.