Msaada: Nataka kwenda Uholanzi

Wanajamvi habari za muda huu. Nimefanya kazi na waholanzi kwa mwaka sasa baadhi walipenda ufanyaji kazi wangu ambao hawakuupenda walikaa kimya ila waliopendezwa nao hawaishi kutuma email niende uholanzi hata mara moja sasa sijui hata nianze na nini maana hata Kenya sijawahi kufika msaada Tafadhali.


Asante
Tigo inakuhusu mtumishi ewe baba nanihii
 
kuna kijana wa hapa Arusha, alishoboka na wajerumani wakamtumia tiketi jamaa kwenda yaliyotokea ni historia ya aibu. Ushauri kwa Vijana, hakunaga short-cut kwenye maisha. Baadhi ya wazungu (si wote) ni washenzi wa tabia. Mara kadhaa tumesikia dada zetu wananunuliwa kwenda kufanya mapenzi na wayama hasa mbwa. Tafuta hela zako kihalali, ulaya nenda vacation kwa gharama zako (Ethiopian Airlines wameturahisishia mambo ya nauli) ukimaliza rudi bongo umenyeke kutafuta hela tena.
** Wapenda vya bure, nendeni lakini baada ya muda mkianza kuvaa diapers "pampaz" maana uhharro utakuwa unatoka bila breki.
walimfanyaje?
 
Back
Top Bottom