Weltmeisterschaftung
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 364
- 247
Habari za wakati huu wana JF.
Ninatamani sana kuwa GT kama vile mkuu The bold The Boss mshana jr pamoja na Yericko Nyerere
Ni mbinu gani nitumie niwe the great thinker?
Naombeni msaada.
Avatar yako kuna kitu inamaanishaGood
Hshahahaha yani humu huwez soma Uzi usicheke hata kidogoAhaa unataka kuwa kama mimi ee
View attachment 531033
View attachment 531034
Habari za wakati huu wana JF.
Ninatamani sana kuwa GT kama vile mkuu The bold The Boss mshana jr pamoja na Yericko Nyerere
Ni mbinu gani nitumie niwe the great thinker?
Naombeni msaada.
Kamanda asantesoma,ili upate ELIMU,ELIMU,ELIMU na ukisaidie wewe binafsi ,familia yako,maana familia bora ni kiini cha taifa bora,SKY IS A LIMIT.
Mkuuu huna soft copy ya hivyo vitabuanza na vitabu vifuatavyo
7 habits of highly effective people by stephen covey
the world is flat by friedman
art of war by sun Tzu
learning how to learn by Dr barbara oakley
vilibadilisha fikra zangu sana na kunifanya nibadilike
Nimecheka mkuu, we ni GT eeeh:-Ahaa unataka kuwa kama mimi ee
Hivi wew ulikuja eeehNenda MMU muone daby na ndege wake wote wakupe ujuzi
Nilikuja nikashuhudiaHivi wew ulikuja eeeh
Yaani wewe haya namuachia mungu. Hao ndege wangu ndiyo wakina nani sasa.Nilikuwa nikashuhudia
Yaani wewe haya namuachia mungu. Hao ndege wangu ndiyo wakina nani sasa.