Msaada nataka kununua king'amuzi je kipi ni kizuri?

Sikuhizi ukitaka kununua kingamuzi tunakuuliza,unapendelea channels za ndani au kimataifa......Kama za ndani bas Startimes itakufaa Ila kama kimataifa na mipira bas Dstv ni bora zaidi ikifuatiwa na Azam
 
Hii njia ya kununua kitu Google Play Store kwa kutumia salio la kawaida yaani Vodacom airtime nani alishaitest na ikakubali?
 

Attachments

  • Screenshot_2018-08-29-13-35-33.jpg
    Screenshot_2018-08-29-13-35-33.jpg
    15.1 KB · Views: 47
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom