GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 598
- 853
Habari za wakati huu wakuu,
Kuna jambo naomba kusaidiwa, kuna mdogo wangu naishi nae hapa nyumbani nataka kumtoa shule ya kata ya kutwa na kumpeleka shule yoyote ya serikali ya bweni inayopatikana mikoa ya Pwani, Mtwara, Lindi, Morogoro na Dodoma.
Anaingia kidato cha tatu, silizishwi na mwenendo wake wa kitaaluma pia niko tayali arudie tena kidayo cha pili.
Mwenye uelewa kwenye hili, connection ya walimu wakuu katika mikoa hiyo tajwa naomba anisaidie.
Au kama kuna taratibu za kufata Pia naomba nionyeshwe njia.
Ahsante naomba kuwasilisha.
Natanguliza Shukrani