Msaada nataka kulipost jarida langu mtandaoni na watu waweze kudownload

JF hapa ni mahali pazuri. Liweke hapa tulidaunilodi. Hongera pia kwa kuwa na jarida!
Naomba unipe muongozo wa kufanya hivyo, na pia nitataman kujua kama watu watakaoweza kudownload watakua ni members wa jamii forums tu au hata ambao sio member
 
20 Jan 2018
Kamilisha ndoto ya kuandika kitabu na ku-publish na kuuza Amazon. Angalia tutrial hii na inayofuata kujifunza.

JINSI YA KUWEKA KITABU AMAZON, KU-PUBLISH NA KUUZA



Source : EBM Scholars
 
Jaribu kushare nione contents naweza kushauri by the way ukiingia website za vyuo kama SUA, UDSM. .... HUWA kuna calls for news letters, articles, papers sijui uandishi wako na format uliotumia, lugha na audience uliowalenga. Kama wewe ni academician utakuwa umepata kamwanga.

Pia waweza kupata ushauri jukwaa la ELIMU
 
Back
Top Bottom