Msaada nataka kujiunga netflix nimekwama kwenye card ya kulipia naipataje?

dumbi

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
989
1,523
Mwenye ufahamu anisaidie kutengeza card nilisikia unaweza kutumia vodacom
Screenshot_20200924-201957_Chrome.jpg
 
Asante sana
Alaf jiunge kupitia app yao. Utapata bei za chini zaid. Cha chini kabisa ni $2.99 (kinafanya kazi kwenye simu tu) na kuna cha $4.99 kinafanya kazi na simu + laptop. Ukijiunga kupitia website hutapata cha chini ya $7.99
 
$4.99 kma unataka tumia na laptop hichi jiunge kupitia laptop
Screenshot_20200924-211745_Samsung%20Internet%20Beta.jpg
 
Alaf jiunge kupitia app yao. Utapata bei za chini zaid. Cha chini kabisa ni $2.99 (kinafanya kazi kwenye simu tu) na kuna cha $4.99 kinafanya kazi na simu + laptop. Ukijiunga kupitia website hutapata cha chini ya $7.99
Dah nimechelewa kupata coment yako kweli nimekuta zinaanza$7 washanipiga,baadae naweza kubadili nikapata hicho $4
 
Huwez badili ukakipata. Kma ushalipa, mwezi ukiisha cancel subscription yako na ufungue account mpya tu
 
Poa ila nimeingia kwenye laptop sijaona sehem ya kudowload ila kwenye cm ipo,nimedowload kwenye cm halafu nataka nihamishie kwenye flash nazo sizion kwenye internal ya cm,hii nimeingia cha kike bora ningennua bando nidowload movie tu nnazopenda basi.
 
Kwenye laptop una access kupitia Browser. Au application yao kma una Windows 10 ipo kwenye Windows Store
 
Kumbe watakatifu bongo bado wapo
Yaani na akili zangu za kiwizi wizi ninunue kabisa kifurushi cha NETFLX
Ma website ya kushusha movies/series free yamejaa kibao
Sinaga huruma na mabeberu mimi
Hamna cha bure duniani. Kma unaweza kulipia kitu we lipa tu
 
Bado hujanishawishi
Yaani naweza kudownload movie yoyote kwa kutumia bundle langu tu halafu nianze kutafuta sijui mastercard eti nilipie NETFLX ili nidownload kwenye site yao?
Sina ubinaadamu huo kwa mabeberu
Mkuu mi nilijua nikijiunga ni mwendo wa kucheki mimuvi tu kumbe net inatumika kama kawaida,nikweli ni bora ushushe tu ila kama una smart tv njia hii safi sana.
 
Data ipo pale pale mkuu
 
Kingine movie zipo clear halafu mb ndogo sana zinatumia
Mkuu unaweza kupata same quality hata kwenye site zingine
Pia unaweza kupata zenye less mb na quality bado ika nzuri tu
Au una weza kupata za high quality

Halafu kumbuka NETFLX hawana movies/series zote lakini huku changanyikeni unapata za huko Amazon Staz nk

Yaani ni wewe tu
Anyway watu tunatofautiana maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom