Simpletumia mpesa au airtel mastercard ni faster tuMwenye ufahamu anisaidie kutengeza card nilisikia unaweza kutumia vodacom View attachment 1579686
Jinsi Ya Kutengeneza Mpesa MasterCard kwa ajili ya matumizi ya Mtandaoni. - NetPoaNatumiaje mkuu au niingie menu ya mpesa nitakuta
Alaf jiunge kupitia app yao. Utapata bei za chini zaid. Cha chini kabisa ni $2.99 (kinafanya kazi kwenye simu tu) na kuna cha $4.99 kinafanya kazi na simu + laptop. Ukijiunga kupitia website hutapata cha chini ya $7.99Asante sana
$4.99 kma unataka tumia na laptop hichi jiunge kupitia laptopAlaf jiunge kupitia app yao. Utapata bei za chini zaid. Cha chini kabisa ni $2.99 (kinafanya kazi kwenye simu tu) na kuna cha $4.99 kinafanya kazi na simu + laptop. Ukijiunga kupitia website hutapata cha chini ya $7.99
Dah nimechelewa kupata coment yako kweli nimekuta zinaanza$7 washanipiga,baadae naweza kubadili nikapata hicho $4Alaf jiunge kupitia app yao. Utapata bei za chini zaid. Cha chini kabisa ni $2.99 (kinafanya kazi kwenye simu tu) na kuna cha $4.99 kinafanya kazi na simu + laptop. Ukijiunga kupitia website hutapata cha chini ya $7.99
Huwez badili ukakipata. Kma ushalipa, mwezi ukiisha cancel subscription yako na ufungue account mpya tuDah nimechelewa kupata coment yako kweli nimekuta zinaanza$7 washanipiga,baadae naweza kubadili nikapata hicho $4
Poa ila nimeingia kwenye laptop sijaona sehem ya kudowload ila kwenye cm ipo,nimedowload kwenye cm halafu nataka nihamishie kwenye flash nazo sizion kwenye internal ya cm,hii nimeingia cha kike bora ningennua bando nidowload movie tu nnazopenda basi.Huwez badili ukakipata. Kma ushalipa, mwezi ukiisha cancel subscription yako na ufungue account mpya tu
Kwenye laptop una access kupitia Browser. Au application yao kma una Windows 10 ipo kwenye Windows StorePoa ila nimeingia kwenye laptop sijaona sehem ya kudowload ila kwenye cm ipo,nimedowload kwenye cm halafu nataka nihamishie kwenye flash nazo sizion kwenye internal ya cm,hii nimeingia cha kike bora ningennua bando nidowload movie tu nnazopenda basi.
Hamna cha bure duniani. Kma unaweza kulipia kitu we lipa tuKumbe watakatifu bongo bado wapo
Yaani na akili zangu za kiwizi wizi ninunue kabisa kifurushi cha NETFLX
Ma website ya kushusha movies/series free yamejaa kibao
Sinaga huruma na mabeberu mimi
Bado hujanishawishiHamna cha bure duniani. Kma unaweza kulipia kitu we lipa tu
Mkuu mi nilijua nikijiunga ni mwendo wa kucheki mimuvi tu kumbe net inatumika kama kawaida,nikweli ni bora ushushe tu ila kama una smart tv njia hii safi sana.Bado hujanishawishi
Yaani naweza kudownload movie yoyote kwa kutumia bundle langu tu halafu nianze kutafuta sijui mastercard eti nilipie NETFLX ili nidownload kwenye site yao?
Sina ubinaadamu huo kwa mabeberu
Data ipo pale pale mkuuMkuu mi nilijua nikijiunga ni mwendo wa kucheki mimuvi tu kumbe net inatumika kama kawaida,nikweli ni bora ushushe tu ila kama una smart tv njia hii safi sana.
Mkuu unaweza kupata same quality hata kwenye site zingineKingine movie zipo clear halafu mb ndogo sana zinatumia
Naomba niPM nikuelekeze namna ya kutumia Netflix bila malipo free kabisaMwenye ufahamu anisaidie kutengeza card nilisikia unaweza kutumia vodacom View attachment 1579686