mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 816
hatutanyamaza ! tutapaza sauti !! hii nchi ni yetu sote na istoshe Dar es Salaam wametukuta! NA WATATUAWACHA! ndio maana wakifa wanasafirishwa ! nasisi wanatuwacha hapa hapa!
Nyani haonagi difu yake...mkuu mwambie m'badilishane makazi labda hatakerekwa na hiyo Kengele...wamepata sababu ya kuonyesha chuki zaoHuku kwetu KUNA KELELE ZA KENGELE...ikifika saa kumi na moja ALFAJIRI ...likipigwa HATULALI TENA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu ya nini huyo??...ama kweli nimeamini wengine wanakuwa miili tu but akili ni za kitoto...teh teh..wampa hamasa ya kwenda kushtaki..akifanikiwa kuyaondoa hayo maneno ya kuwaita waumini kwenda kufanya ibada..basi atuletee mrejeshoSwali lako liko chini ya sheria ya madhara (tort). Kama maneno hayo yanakutia hofu basi kisheria tunaita (nervous shock). Pia, sharti mwenendo huo uwe umekuletea au unakuletea madhara, ambayo bila shaka, ni ukosefu wa usingizi mara baada ya kuwa na nervous shock. Hivyo mashtaka yako yatakuwa dhidi ya bodi ya wadhamini (board of trustees) au taasisi hiyo na wala si yule asemaye maneno hayo. VITU VYA KUTHIBITISHA NI MANENO HAYO YANAKUPA NERVOUS SHOCK NA KWA SABABU HIYO HUWEZI KUPATA USINGIZI TENA.
Sent from iPhone 9
Hizi nyumba za ibada kwenye maeneo ya makazi ni mtihani kweli kweli.
Jana jpili nimemtembelea jamaa yangu anaishi jirani na Kanisa dogo tu la mbao, cha ajabu umeme wanachukulia kwake, hiyo kelele hapo sebuleni tulikuwa tunaipata fresh....nikaenda kuchungulia Waumini hawafiki hata kumi na tano.
Nikamuuliza hii hali ni mpaka saa ngapi? akaniambia saa nane, na saa hizo ndio kwanza saa tano asubuhi.
PovuuuuKwani ulilazimishwa kukaa hapo ama tu yaani watu waache kuamshwa kwenda kufanya ibada kisa wewe eti unaogopa kuambiwa kua utakufa
Acha usenge wako,
Hakuna mwislam anayeita Adhana ni kelele,wewe ni mpumbav.u kama wapumbav.u wenzio tu...!Mimi ni mwislamu lakini kuamsha watu kwa kelele hususani saa kumu usiku ilhali sala inasaliwa saa 11 si jambo zuri,hapa mtaani pia kuna jamaa alikuwa na mtindo huo tukamkataza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani kazungumzia adhana?,kinacholalamikiwa hapa ni kuamsha watu saa kumi kasoro na maneno ya kitanda ndo jeneza lako ilhali sala inasaliwa saa 11 asubuhi,anaongea dakika kumi nzima tena kwa loud speaker,sasa kama mimi ni mpumbavu basi na wale mashehe waliompiga jamaa stopu nao utawaitaje.alafu tabia kukurupuka na kutukanana sio sifa ya waislamu,mie pia najua matusi tena pengine kuliko wewe so jiheshimu.Hakuna mwislam anayeita Adhana ni kelele,wewe ni mpumbav.u kama wapumbav.u wenzio tu...!