Msaada: Nataka kuishitaki nyumba ya ibada iliyo jirani na nyumba yangu

Sizungumzii kelele ndio maana sijataja night clubs nazungumzia maneno ya kutisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe na uanaume wako ndo unatishika na maneno hayo....pole sana...hapa duniani tunapita tu kwahiyo usione ajabu kutajiwa KIFO,JENEZA,SANDA n.k....tunakumbushiwa kuwa tutakufa kwahiyo mezea tu au kama vipi uhamie mbali na msikiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala ni moja ya kitu ninacho consider pindi nikitaka kuhamia makazi mapya, hata kama nyumba ni nzuri niko radhi niikose

Yes or No

NI sawa kabisa, kuna familia moja ilikuwa inatafuta nyumba, wakapata nyumba nzuri tatizo ikawa hakuna masjid karibu na pale, ikabidi aiachie atafute eneo ambalo kuna masjid karibu ili akumbushwe kuwa ipo siku atakufa! uoga hausaidii PAMBANA NA HALI YAKO! inaonekana wewe ni wa VIJIJIVI tena vya huko BARRAH! MWarabu aliita BARRAH! nje! NDIO MAANA UKAJIITA ILLEGAL IMMIGRANT! kama upo Dar tafadhali rudi ulipotoka! tuachie mji wetu
 
Wanadhania tutawanyamazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njoo uishi kinondoni biafra maarufu kama kanisani uburudishwe na magitaa na matarumbeta usiku kucha 24/7..hilo kanisa lina vikundi vya kuimba vya wiki nzima nadhani manake ni kila siku usiku kucha alafu vyombo vyao vya kisasa gitaa unalisikia chini ya uvungu ile base inavuta pillow..karibu sana!
 
Hayo sio mashitaka ni uhuru wa mtoa mada kusema kinachomfurahisha, kinachomkera n.k. ni haki yako pia.
We also discuss what is right and wrong...
Hii sio sehemu ya mashitaka ni sehemu ya kujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
But complaining here will only cauce friction between us..so it was just easier for him to take his complains to the section responsible for this issue than starting a thread complaining about religious issues....he would find another way of getting an advice and not here....Remember that JF's members are not only christians and pagans...even Muslims we're here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njoo uishi kinondoni biafra maarufu kama kanisani uburudishwe na magitaa na matarumbeta usiku kucha 24/7..hilo kanisa lina vikundi vya kuimba vya wiki nzima nadhani manake ni kila siku usiku kucha alafu vyombo vyao vya kisasa gitaa unalisikia chini ya uvungu ile base inavuta pillow..karibu sana!
Me nawashangaa wanaochukia dini za wengine...tena kaja na gea ya kuishitaki nyumba ya ibada....hivi ni busara hiyo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom