Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,216
Una uwakika kafanya hayo je kama hajalipa fremu na mtaj bado yupo nao. Ndio anakusanya information.. Kuna njia nying za kupata information.. Wew kweli unadhan anaweza lipa fremu alafu ndio aanze tafuta duka la jumla. Hapa kaja kutanua ubongo tu. Wew mshauri vizur maduka yalipo na ukimaliza mrekebishe.Ukileta jambo hapa hadharani tegemea cho chote mkuu. Unachukua kinachokufaa na kisichokufaa unakiacha. Ndo maana halisi ya uhuru na demokrasia tunayoililia kila siku; na wote hatuwezi kufanana kimawazo na kimtazamo. Ila kuanzisha biashara hata hujui bidhaa utazipata wapi, wateja wako wakoje, ushindani ulivyo na mambo mengine ya msingi siyo njia sahihi ya kuanzisha biashara !!!
Alafu uandish pia tumetofautiana. How to deliver a message..
Toa ushaur alafu mpe maoni yako nahisi ni msaada tosha. Usimfanye ajione mjinga na hana elim au kakosea. Na kama kakosea still anayo solution.. Na kukosea ni sehemu ya kujifunza