Msaada, Nataka kufanya starehe ila nimeishiwa pesa

American Ninja

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
224
304
Hey wazee kama kichwa cha habari kinavyosema,
Nina hamu kweli ya Kutanua na totozi bomba wikiendi hii ila mwezi huu Mfuko wangu Umetoboka, Mpenda totoz mwenzangu anipe Sapot, Maisha ni kusaidiana Leo kwangu kesho kwako. Hizi mambo ni kama wavuta sigara, kusaidiana.
 
Hey wazee kama kichwa cha habari kinavyosema,
Nina hamu kweli ya Kutanua na totozi bomba wikiendi hii ila mwezi huu Mfuko wangu Umetoboka, Mpenda totoz mwenzangu anipe Sapot, Maisha ni kusaidiana Leo kwangu kesho kwako.
Uza Rasilimali mwili.
 
Tena kwa pesa ambayo si yake 😂😂😂😂😂

Ninja wa Kijapani anaruka na kupotea lakini Ninja wa Tanzania anataka kula bata na totoz 🤣🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kamuone Kabudi
IMG-20190711-WA0067.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom