Msaada, Nataka kufanya starehe ila nimeishiwa pesa

Hey wazee kama kichwa cha habari kinavyosema,
Nina hamu kweli ya Kutanua na totozi bomba wikiendi hii ila mwezi huu Mfuko wangu Umetoboka, Mpenda totoz mwenzangu anipe Sapot, Maisha ni kusaidiana Leo kwangu kesho kwako. Hizi mambo ni kama wavuta sigara, kusaidiana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom