Msaada: Nataka kubadili Document kutoka PDF to Word format

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,306
3,550
Nataka nibadili PDF Document kuwa katika Word Document/format bila kuharibu mpangilio.

Nifanyeje au kama kuna mtu anaweza anibadilishie.
 
Tumia Microsoft Office Mobile
Link: Microsoft Office: Word, Excel, PowerPoint & More - Apps on Google Play
Screenshot_20210418-083803.jpg
 
Ukitumia google kuna site kibao za kufanya hivyo.

Ukiweza pia download adobe acrobat professional au nitro pdf au nitumie inbox hilo file nikusaidie
 
Download microsoft Lens (Android App)scan pdf doc yako then save kama word ! Then download.

Hii haijawahi kuniangusha tangu iingie sokoni 2018. Thank me later.
 
Mkuu tumia Office kuanzia ya 2013 ina feature ya kuconvert pdf to word. Just open MS Word and drag and drop hiyo pdf yako inaconvertiwa kiwa word document then isave kama word document.
 
Ms word inamaliza kazi. Just open ms word kisha nenda sehemu iliyoandikwa "file", clik, then select open, click. Chagua PDF unayohitaji kufanyiwa kazi.
Kama unataka ku-edit, fanya hivyo, kisha save as Ms word (.doc).
Note: mimi natumia Ms word ya 2019-sijajua versions za nyuma.
 
Back
Top Bottom