Msaada: Nataka kuanza uhusiano na kasichana nimekazidi miaka 10... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Nataka kuanza uhusiano na kasichana nimekazidi miaka 10...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fiksiman, Oct 18, 2009.

 1. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu bila shaka wengi mwafahamu niko kwenye msako wa kutafuta mwenza na nilishatoa sifa naona watu wamegoma kunisaidia.

  Sasa nimefanikiwa kupata kademu kamoja MATATA SANA! Shida huyo ni mtoto mwenyewe nimemzidi age afu hakajavuka miaka yetu ile ya kujiachia. Naomba ushauri wenu niendelee nacho au nikapotezee....Bado sijakala na kameniambia hakajawahi kuguswa.

  Angalizo:
  Naomba ushauri tu msije kuanza uanaharakati wenu kwenye hii thread...chondechonde moderator nilinde katika hili.

  AHSANTE
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Umechoka Kunya Kistaarabu ee, Umechoka Kunyea Toiletini sasa walitamani debe siyo ee, Ngoja wakusikie TGNP
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Just grow up .
   
 4. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  EXPLAINATION WILL DO GOOD.....plz kindly tel me what do u mean by that.
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mwanaume kumzidi mwanamke miaka 10 is not a big deal kama mmependana. Cha muhimu hakikisha huyo msichana siyo dent wa primary au secondary.
   
 6. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwani hako kamwanamwali kana miaka mingapi? Hebu kuwa wazi, kasije kakawa na miaka 13, teh, teh, teh.
   
 7. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sasa ndio ushapata mke wa ndoa kabisa ama wataka kula na kuruka?????????????????????????????
   
 8. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Huyu mtoto kwa kweli nataka kumuoa kabisa..tatizo ni mdogo sana kanaweza kunibadilikia kakianza kujua dunia. Japo kamenihakikishia hundred times kuwa ananipenda na ananipenda kiukweli. Yuko tayari hata kunipa bikra yake kama naona namuongopea.

  Sasa haya ni maneno mazito kutoka kwake ndo maana naomba ushari kwenu pengine wapo wenye situation kama yangu....binafsi nimeamua kumpa muda akue at least miaka miwili afu ndo nianze kummega.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,598
  Trophy Points: 280
  Kama huyo binti ni under age basi kaa naye mbali kabisa wala usiwe na mawasiliano naye ya aina yoyote ile labda kama umechoka maisha ya mtaani na sasa unataka kwenda kuozea Keko.
   
 10. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kako sixteen mwana....daah.
   
 11. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  hebu achana nako kabisa mtoto wa miaka 16 mbona anafaa kuwa shuleni...jamani duh!!! kwa nini usitafute wenye miaka 20+ na wapo wengi tele ukikosa hata wa karne tatu na/...... tupo wengi achana na vitoto utajipata jela bure....
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,598
  Trophy Points: 280
  Usimuharibie maisha binti wa watu kwa ukware wako. Binti ndiyo kwanza yuko Form Two kama anaenda shule na wewe baba mtu mzima badala ya kwenda kutafuta wanawake wa rika lako unataka kumharibu binti wa watu! Mtu mzima hovyooooo!
   
 13. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Basi muache asome kwanza kama yuko shule, kwa maana hiyo wewe una twenty six, ukiweza subiri miaka miwili mitatu halafu ndio muingie uwanjani.
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hivyo bongo kuna under age? Watoto wengi vijijini wanaolewa wakiwa na umri wa miaka 13-18.
   
 15. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  nakwambia BAK watu wengine sasa hili pia ni la kujadiliwa??? sasa yeye ndiye angekatia kibao akikarudisha hiyo form2, watoto nao ukware ati yuko tayari kumpa ubikra! masikitiko!
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,598
  Trophy Points: 280
  Pretty, tunazo sheria kama hizo lakini kama ujuavyo sheria za nchi yetu zisivyofuatwa kabisa kutokana na rushwa iliyokithiri katika kila kona.
   
 17. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #17
  Oct 18, 2009
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sasa wewe 26 years una haraka gani ya kutaka kuoa mpaka utangaze huku? mimi nilidhani emergency! wewe pia underage, kua kwanza maana nina wasi wasi wewe ndo utakatoroka kabinti ka watu.
  endelea na hao wa kurushana nao roho, muda ukifika utajua umuoe nani, ukishindwa ndo uje uombe ushauri
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kama yupo 16 msisitize asome, na umwambie huwezi kumuoa kwa sasa. Kama kweli unampenda msubiri hadi hapo atakapomaliza elimu yake.
   
 19. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Halafu hapa atupe CVs zake kwa kifupi kabisa je, kako shule, au housegirl, n.k.
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sikiliza ushauri huu, kama unataka kuoa msichana ana miaka 16 basi labda hauko tayari kuoa!
   
Loading...