msaada: nataka brand new toshiba laptop isiyozidi laki saba(tshs 700,000)

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
719
Points
1,000

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2012
719 1,000
wakuu naomba msaada na ushauri upatikanaji wa toshiba laptop kwa specification zifuatazo.
RAM 4 GB
PROCESSOR not less than 2.4 GhZ
HARD DISK not less than 600 GB
SCREEN SIZE not less than 15
dvd/r/w- YES
WI-FI -YES
WEBCAM -YES
CARD READER- YES
BLUETOOTH-YES

import 4rm USA, UK but not from china wadau.....

Natanguliza shukurani zangu za dhati............ ushauri wako ni muhimu
 

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,232
Points
1,195

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,232 1,195
hard disk sema not less than 500gb, pili RAM unaweza kununua binafsi hata ya 8gb cha mhimu ni processor, kwa vigezo hivyo na bei hiyo unavyotaka jaribu kutafuta toka ebay.
 

Forum statistics

Threads 1,392,128
Members 528,544
Posts 34,099,528
Top