Msaada; Natafuta Watengenezaji wa mifuko ya kupaki bidhaa mbalimbali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Natafuta Watengenezaji wa mifuko ya kupaki bidhaa mbalimbali.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mgoda simtwange, Sep 23, 2012.

 1. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wapi ndani ya jiji la dar naweza kuwapata watengenezaji/wauzaji wa mifuko ya size mbalimbali kwa ajili ya kupaki bidhaa za aina mbalimbali kama mchele, maharage, vitunguu. Zaidi zaidi nataka plastic bags zenye uwezo wa kubeba robo kilo, nusu kilo, kilo moja, kilo mbili, na tano na kumi. Tafadhali sana nawaomba wadau mnisadie
   
 2. N

  Ng'ongoampoku Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  check na sido utamaliza tatizo lako, sido ni kila kitu baba
   
 3. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Nenda kariakoo pale soko kuu ila ingia/uliza soko dogo, iko mifuko ya kumwaga na size za kila aina
   
Loading...