Msaada:natafuta shule ya english medium primary school(boarding) iliyoko mkoa wa njombe

Manie

Member
Jul 18, 2013
17
2
Habari zenu marafiki na ndugu zangu wa hapa jamii,nimekuja mbele yenu,naomba msaada kwa yule anaefahamu shule yoyote ya ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL AMBAYO NI BOARDING ILIYOKO KTK MKOA WA NJOMBE NINA WATOTO WANGU NAITAJI WASOME KUANZIA MWAKANI 2014,RAFIKI YOYOTE AMBAYE ATAKUWA ANAFAHAMU NAOMBA MSAADA HUU NDUGU ZANGU,MNAWEZA KUNI PM AU NAMBA YANGU NI 0763 47 47 73,ahsanteni marafiki.
 
Ipo shule nzuri sana inaitwa St. Benedict. Ada yake ni nafuu tu...2,025,000/= kwa mwaka,inamlea mtoto katika maadili mazuri sana.
 
Ipo shule nzuri sana inaitwa St. Benedict. Ada yake ni nafuu tu...2,025,000/= kwa mwaka,inamlea mtoto katika maadili mazuri sana.

Hafu akifika chuo anaanza kuomba mkopo kuwasumbua watoto wa walala hoi eeh?

Mtu anaweza kuwasomesha wanawe kwa Mill 2 Primary hafu anajifanya University anaomba msaada kumsomesha mtoto kwa Mil 1.2
 
Back
Top Bottom