Mpeleke JitegemeeWadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
Hiyo shule unaenda kumpoteza mtoto siwezi shauri hili.Jitegemee ni private au ni ya serikali??
Je ipo sehem gan??
Mana katoto kenyewe kakike so napenda sehemu karibu na Kimara au kupanda gar moja to school
White lake nayo ni shule?St Augustine Tagaste, Bethsaida girls, white lake, Babro Johansson
Ni nini mkuu?White lake nayo ni shule?
Mbezi high school kwa YusufNahitaji ya Day wadau ambayo ipo Kimara au wilaya ya Ubungo
St Anne ni bording tu,ila Brilliant ina bording na day.,I guessSawa, Brilliant sec school vipi??
Mana St Ann hyo ni boarding tu
St Anne Maria hakuna dayMpeleke St. Anne Maria, Mbezi kwa Msuguli. Mbezi High na Carmelite (zamani Msigani Sec) sikushauri kabisa
Brilliant ya kawaida tuBrilliant ni nzuri au??