Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,783
- 66,962
Kunukia gharamalaki 2.5 perfume tu, huu si mtaji wa mtu mwenye akiri timamu kabisaama huko kwenu south mambo yapo good, bongo watu tuna njaa yaan, perfume ya elf10 hapo mtu kajitahd sana!
Mimi naona nikitoka nyumbani asubuhi mpaka ninavyorudi jioni. Na harufu unakuta inabaki bado kwenye nguo. Sema ile strong scent inapungua sio kama ulivyotoka asubuhi. Nenda kanunue za kupima hutajutia. Tafuta kabrand ambacho kimesifiwa sana afu kanunue ya kupima yake. You'll smell kiboss boss mpaka ufurahiHizo za kupima huwa zinadumu kwa muda gani baada ya kupulizia?
mkuu 18k,hiyo K ndio nnKanunue blue for men 18k, Active man 13k single au double inakua na body spray yake ni 15k.
Au kuna hizo brand za paris huko ulizotajiwa zipo wanaouza za kupima, unapata kwa 30k mpaka 40k zinakua in 40mls unanukia mpaka wiki ijayo. Kuna hizo hizo brand ulizotajiwa unapata copy za dubai (mini crystals) in 25ml kwa 15k mpaka 25k. Bei inategemea unaponunulia.
Black opium nitaenda kuitafuta full stopHahaha naweza nisiwe mshauri mzuri. Best way ya kununua perfume ni kwenda dukani. Nusa nusa mpaka upoteze muelekeo. Baada ya kupoteza muelekeo chukua yoyote katika ulizonusa nusa. Ikiisha hiyo kanunue nyingine sio ile ya mara ya kwanza, fanya hivo kama mara tatu au nne. Katika hizo nne ulizotumia tofauti utapata ambayo kwako ni best.
Na mimi sina signature perfume. Napenda kununua sana za kupima kwahiyo naenda nanusa nusa baada ya kupoteza muelekeo nachukua yoyote.
Ila black opium naipenda zaidi. And I think ni unisex anaeza akatumia yoyote.
😁😁😁0710218698
Weka bei Mkuu maana nataka nipime na bei ya silver ile ya kupaka mwenye nguo mpaka mafuaKama ni mwanamke nakushauri Dolice&Gabbana blue intense .Kama mwanaume basi Blue de Chanel.
Kama ni mwanamke nakushauri Dolice&Gabbana blue intense .Kama mwanaume basi Blue de Chanel.
Bajeti yako ni kiasi gani??
Maana watu wanaweza kukushauri Creed Aventus (bei ni 600K+) huku wewe una 5K(Buku tano)
Kuna perfume inaitwa Millionaire, ipo ya kike na ya kiume, iko great, price yake ni 200,000. Harufu yake nzuri na haichoshi.. Unaweka kiduchu..
Yaani hii ndo naitumia,lazima uambiwe unanukia vizuri. Unaulizwa umejipulizia aina gani ya perfume.Daah hiyo D&G blue ni balaa, mwanamke akiipaka utamtamani vibaya sana.
Ya kupima ntapata wapi mkuuYaani hii ndo naitumia,lazima uambiwe unanukia vizuri. Unaulizwa umejipulizia aina gani ya perfume.
Nenda kwa Mangi inapatikana...y
Ya kupima ntapata wapi mkuu
Mie pia nilitaka kumshauri anunue Creed ile makitu ilinipaga demu kwenye boat ya AzamBajeti yako ni kiasi gani??
Maana watu wanaweza kukushauri Creed Aventus (bei ni 600K+) huku wewe una 5K(Buku tano)
Blue de Chanel bei inasimama ngap mkuu nijitose ? Maisha ni haya haya bhana , watu wanataman tunukie tukiwa kaburini , mariamu alimpaka Yesu perfume ya bei mbaya kuliko zote na Yesu akafurahia harufuHii haina mpinzani.
133 mpaka 140 euros.Blue de Chanel bei inasimama ngap mkuu nijitose ? Maisha ni haya haya bhana , watu wanataman tunukie tukiwa kaburini , mariamu alimpaka Yesu perfume ya bei mbaya kuliko zote na Yesu akafurahia harufu
Around Tsh 360000, ngoja nijipange133 mpaka 140 euros.