Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

laki 2.5 perfume tu, huu si mtaji wa mtu mwenye akiri timamu kabisaama huko kwenu south mambo yapo good, bongo watu tuna njaa yaan, perfume ya elf10 hapo mtu kajitahd sana!
Kunukia gharama
 

Attachments

  • IMG_20190808_182527.jpg
    IMG_20190808_182527.jpg
    81.9 KB · Views: 29
Hizo za kupima huwa zinadumu kwa muda gani baada ya kupulizia?
Mimi naona nikitoka nyumbani asubuhi mpaka ninavyorudi jioni. Na harufu unakuta inabaki bado kwenye nguo. Sema ile strong scent inapungua sio kama ulivyotoka asubuhi. Nenda kanunue za kupima hutajutia. Tafuta kabrand ambacho kimesifiwa sana afu kanunue ya kupima yake. You'll smell kiboss boss mpaka ufurahi
 
Kanunue blue for men 18k, Active man 13k single au double inakua na body spray yake ni 15k.

Au kuna hizo brand za paris huko ulizotajiwa zipo wanaouza za kupima, unapata kwa 30k mpaka 40k zinakua in 40mls unanukia mpaka wiki ijayo. Kuna hizo hizo brand ulizotajiwa unapata copy za dubai (mini crystals) in 25ml kwa 15k mpaka 25k. Bei inategemea unaponunulia.
mkuu 18k,hiyo K ndio nn
 
Hahaha naweza nisiwe mshauri mzuri. Best way ya kununua perfume ni kwenda dukani. Nusa nusa mpaka upoteze muelekeo. Baada ya kupoteza muelekeo chukua yoyote katika ulizonusa nusa. Ikiisha hiyo kanunue nyingine sio ile ya mara ya kwanza, fanya hivo kama mara tatu au nne. Katika hizo nne ulizotumia tofauti utapata ambayo kwako ni best.

Na mimi sina signature perfume. Napenda kununua sana za kupima kwahiyo naenda nanusa nusa baada ya kupoteza muelekeo nachukua yoyote.
Ila black opium naipenda zaidi. And I think ni unisex anaeza akatumia yoyote.
Black opium nitaenda kuitafuta full stop
Thank you beauty.
 
mi nikipiga zangu galaxy SIII ya buku nne nikibembeleza buku 3 hoii, nikirudi zangu jioni harufu ya kwapa haielewek na ya perfume haijulikani, ni neutralization of gasses
 
Mama watoto aliwahi kuninunulia perfume moja inaitwa Tom Ford Black Orchid inauzwa kama $150 hivi kwenye duty free. Bahati mbaya the next month akapata ujauzito halafu akawa hapendi harufu yake. Nilitamani kuigawa asee
 
Bajeti yako ni kiasi gani??

Maana watu wanaweza kukushauri Creed Aventus (bei ni 600K+) huku wewe una 5K(Buku tano)
Mie pia nilitaka kumshauri anunue Creed ile makitu ilinipaga demu kwenye boat ya Azam
 
Hii haina mpinzani.
Blue de Chanel bei inasimama ngap mkuu nijitose ? Maisha ni haya haya bhana , watu wanataman tunukie tukiwa kaburini , mariamu alimpaka Yesu perfume ya bei mbaya kuliko zote na Yesu akafurahia harufu
 
Blue de Chanel bei inasimama ngap mkuu nijitose ? Maisha ni haya haya bhana , watu wanataman tunukie tukiwa kaburini , mariamu alimpaka Yesu perfume ya bei mbaya kuliko zote na Yesu akafurahia harufu
133 mpaka 140 euros.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom