Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

Bro kua siriaz azeee kwa mwezi nalipwa laki 3 tu
Hahaha mkuu m nimetaja nnayomiliki coz nikinunua nakaa hata mwaka na sijanunua na mshahara wa kawaida tu angalia unapojiweza hahaha,m mwenyewe nikimkuta mtu anatumia creed ya laki7 huko namshangaa hahahah lakin inanipa munkari wa kutafuta ili na mm sku nikijiweza ninunue teh,before 30 inabd hata vtu vya kawaida umiliki kwanza
 
Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta

Am here lady...
Manukato yenyewe ni Paco Rabanne!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom