Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

husemi Budget yako shauri ako watu wote humu wanaishi mbele perfume utazotajiwa na uhakika hutonunua hata 1..mi nakushauri kiroho safi kanunue kikopo cha mafuta ya Skala kimeandikwa Pefumed petroleum Jelly dukan kwa mangi kinauzwa 500(jero) ila hata 400 anachukua...harufu yake ukipaka Huku mbezi beach mtu wa tandale anaskia.. Sema ndo ivyo inanukia ki beki tatu..Ila we si unataka kunukia Chomoka na hiyo...Mi mwenzako napambana na hali yangu.
teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh...
 
Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Nipo hahaha yani wewe unakumbukumbu balaa! he mpaka huku tume kutana tena? Habari ya siku , sikiile nilikuwa naenda kyabakari duu
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom