Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa.
Shamba liko nje kidogo ya DSM.
Mules = Donkey + Horse ????? ndo huyo unayetafuta ? au punda kihongwe wa kawaida?
Punda hapana, mules (donkey + horse) ndio ninaowatafuta.