Msaada: Natafuta mkopo wa bank 20M

laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,012
2,000
Wanahitaji nini hasa? Maana dhamana nitaweka hilo hilo shamba
mkopo wa kilimo ni mgumu sana kuupata cha kukusaidia kama una viela kidogo sajili kama kampuni ya kilimo tena kwa kutumia hiyo familia yako lima lima kizushi huku ukitengeneza hata cash flow feki kuonyesha unapata faida hata kama umepata hasara!.....tafuta na tin kabisa baada ya mwaka mmoja nenda benki unapata pesa tena nenda benki ya kilimo au TIB BANK
 

mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
5,899
2,000
Hebu niambie we graduate wa SUA, Elimu ya familia yako ina influence vipi upatikanaji wa mkopo? Do you think it is necessary kudhalilisha familia yako na kisomo chao cha darasa la Saba?
 

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,309
2,000
Hebu niambie we graduate wa SUA, Elimu ya familia yako ina influence vipi upatikanaji wa mkopo? Do you think it is necessary kudhalilisha familia yako na kisomo chao cha darasa la Saba?
Kusema elimu ya familia yangu ni kuzalilisha? We acha wengine wachangie wanaoona potentiality na sio elimu ya familia
 

Stephen bryson

Senior Member
Oct 1, 2016
150
250
Mkuu kwanza nianze kwa kukupongeza kwa wazo nzuri sana, mi sio mtalamu wa kilimo wala fedha ila kwa kujaribu huwa najiamini sana.
Cha kwanza kwa benki zetu zilivyo lazima utakutana na changamoto bcoz "they don't finance ideas" pili natumai cash flow for last six months ipo vzuri hapa naongelea bank statements.
Utakuwa na bussiness plan and security comes last, sasa mungu akusaidie benki zetu hawana time frame mkopo unaweza kaa miezi 5 hata ukija kupata mazingira yamebadilika.
I would advise you try with TIB ili angalau upate grace period au una kipato kingine cha rejesho coz kabla hujapata tractor rejesho limefika.
Lastly niombe benki zetu zibadilike wafikirie ku finance brilliant ideas coz we have great men and women entrepreneurs ambao mawazo yao mazuri ya kuwa great people yanapotea sababu hawana fedha.
 

Allelujah

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
454
500
Tatizo kubwa la mabenk ua Tanzania..hawawekez kwenye Idea wao wanataka ku add value katk biashara inayoendelea. Kwa mawazo yako..angalia Bank unayo bank nayo..akikisha una turn over nzur..bank nao at least 6 month..ndo nenda kwa ajil ya kuomba mkopo wa ku add vakue..husipeleke idea ili wakuoe mkopo they wont
Help utapigwa calender mpka ukimbie...ule msemo kanla hujaugua uwe na Dr...kabla hujapata case uwe na Advocate pia kabla huja omba mkopo jitahid uwe na bank ambayo una urafiki nayo ktk deposit...kingine pia nitumie email yako..niyakutumia business plan yangu..ila ilikuwa ya horganic food..na nimeona unataka ifanya..so uta edit na kuongeza vitu vichache..ila kabla hujaipeleka bank watafute watu wenye uelewa wa buzplan za kupeleka bank ili waipitie. Ahsante na Hongera kwa mawazo mazuri..ya kutaka kuikomboa familia yako.
 

Allelujah

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
454
500
mkopo wa kilimo ni mgumu sana kuupata cha kukusaidia kama una viela kidogo sajili kama kampuni ya kilimo tena kwa kutumia hiyo familia yako lima lima kizushi huku ukitengeneza hata cash flow feki kuonyesha unapata faida hata kama umepata hasara!.....tafuta na tin kabisa baada ya mwaka mmoja nenda benki unapata pesa tena nenda benki ya kilimo au TIB BANK
Aise wewe unaijua Tanzania vizuri..bila ujanja ujanja hutoki bro..fuata huu ushaur bro uliye post..
 

faru joni

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
476
1,000
Uzi numeupenda sana....mimi nipl kama wewe ila issue ni elimu tu ndo tumetofautiana
 

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
6,029
2,000
Sijawahi kukopa bank,huwa nakopa kazini tu.Mwaka juzi nilikopa 2M nikazirudisha kwa 6months,mwaka jana nikakopa 4M nikazirudisha kwa miezi 8 na mwaka huu na mwaka huu nina mkopo wa 6M naumalizia mwezi nane kuurejesha japo mikopo hii inakua haina riba kabisa
uko ulipokuwa unapata mkopo ndio sehemu nzuri kwenda kuchukua tena banks nyingi awatoi pesa ndefu kama dhamana yako ni ndogo na aieleweki, kama kitu ni cha kifamilia watakuzingua awatakupa.
Bank inataka Hati ya nyumba au kiwanja au iliyopimwa na wizara ya aridhi na bank nyingi wanatoa kipaumbele kwa sehemu ambazo ni za mjini au za Kibiashara mbali na apo unapata mikopo ya milioni 3 kushuka chini ambayo autakusaidia chochote, bank nyingi zinaogopa watu kama nyinyi katika urudishaji wa pesa, maana biashara zina risk kubwa sana ndugu yangu
 

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
6,029
2,000
Mikopo mingi wanaangalia kama una rekodi nzuri za ulipaji kama ndio unaanza Lazima utaanza na kiwango kidogo Sana cha pesa
 

Mnama

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
2,014
2,000
Sijawahi kukopa bank,huwa nakopa kazini tu.Mwaka juzi nilikopa 2M nikazirudisha kwa 6months,mwaka jana nikakopa 4M nikazirudisha kwa miezi 8 na mwaka huu na mwaka huu nina mkopo wa 6M naumalizia mwezi nane kuurejesha japo mikopo hii inakua haina riba kabisa

Nakushauri uanze kuwekeza kidogo kidogo hata kwa heka moja kwanza huku ukiendelea na usajili na maswala mengine kwa hii mikopo ya ofisini ambayo haina riba wala hawawezi kuuza shamba lenu ukiona biashara inaenda vizuri ndio uchukue mkopo wa benki kwa ajili ya kufanya upanuzi wa shamba.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom