Msaada: Natafuta Miwani ya Kuogelea Wandugu

mdongooo

Member
Jun 20, 2019
8
3
Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
 
Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
Watafute hao jamaa niliziona kwenye page yao ya instagram
Screenshot_20210812-015458_Instagram.jpg
 
Nenda feri kigamboni pale tanganyika swimming club kuna duka la lina mazagazaga hayo,kama wakishuwa nenda sleep way kuna duka pia wanauza vifaa vya kuogelea

Ova
Tanganyika swimming club bado ipo? Nilienda pale miaka ya 90
 
Back
Top Bottom