MSAADA: Natafuta mechi ya Man Utd vs Real Madrid ya 23/04/2003

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
2,948
2,000
Habari zenu wana jamvi.
Naomba mwenye kuweza kuweka mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa 23/4/2003 ktk uwanja wa Old Traford kati ya Man Utd na Real Madrid anisaidie.

Nimejaribu kuitafuta ktk Youtube bila mafanikio.
Asanteni
 

kashengo

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,755
2,000
yanini sasa unarewind uone mlivyokuwa mnacheza zamani?

mi ninayo ya manchester na Newcastle ya wiki hii...nikupe
 

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
2,948
2,000
yanini sasa unarewind uone mlivyokuwa mnacheza zamani?

mi ninayo ya manchester na Newcastle ya wiki hii...nikupe

C kwa maana hiyo bali nina mpango wa kukusanya mechi zilizokuwa kali. Hapa nilipo nadownload Ile finali ya Liver vs AC Milan nikimaliza nitatafuta Ile final ya Man vs Bayern.
Unazikumbuka hzo mechi?
 

GOTILANGU

Senior Member
Aug 23, 2013
182
0
sorry mi nisaidie software unayotumia kudownload na pin zake serious kaka kuna mechi nyingi sina
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom