Msaada natafuta makampuni ya ujenzi yanaochukua vijana wanaojitolea kufanya kazi

aashto

Member
Apr 27, 2017
64
31
Msaada wakuu natafuta makampuni ya ujenzi ambayo yanachukua vijana kwa ajiri ya kupata uzoefu bila malipo,, natanguliza shukrani kwa yeyote atakayekuwa kapata, namba za simu 0745900148,, nakalibisha Maoni na ushauri
 
Mkuu, kuliko kujitolea, ni bora uchukue kapu la maji ukauze kwenye mikusanyiko pale Kariakoo, kwa siku hukosi kurudi nyumbani na sh elfu kumi kuliko kwenda kufanya kazi bure!

DSC_6855.JPG
 
Apply nafasi mbali mbali za ajira na kipaumbele chako kiwe ni kufanya kazi kwa kujitolea,then wao watakufikiria.
Kwa kuanzia nenda mahali palipo na kazi za ujenzi na uanze kama kibarua ili update walau pesa kidogo ya kujikimu alafu onesha uwezo wako.
 
Back
Top Bottom